Home

Results 1 - 10 of 408 for meja ataupun. Search took 1.242 seconds.  
Sort by date/Sort by relevance
#PKDay #PeoplePeaceProgress https://t.co/xtaGXhi79w — Jean-Pierre Lacroix (@Lacroix_UN) May 24, 2022 Mchango wa Meja Zharare Meja Zharare alipelekwa UNMISS Novemba 2020. (...) Meja Zharare ndiye mlinda amani wa kwanza wa Zimbabwe kupokea tuzo hii ya kifahari. Historia ya Meja Zharare Ni mzaliwa wa eneo la Mhondoro, Zimbabwe, akitoka katika familia ya wasichana watano na wavulana wawili, Meja Winnet Zharare alifunzwa na wazazi wake kwamba hakuna tofauti kati ya majukumu ya kijinsia nyumbani watoto wote ni sawa.
Language:English
Score: 1552013.9 - https://news.un.org/sw/story/2022/05/1145052
Data Source: un
Meja Veronica Owuor ambaye ni afisa wa ununuzi na masuala ya kiufundi katika jeshi la anga la Kenya , lakini kwas asa ni miongoni mwa wanawake wawili tu na pekee kutoka barani Afrika wanaofanyakazi katika idara ya maafisa wa mafunzo ya kijeshi kwenye Umoja wa Mataifa. (...) Na ndipo nikaambayana naye Meja veronica na kuketi katika mazungumzo ambapo amenieleza ni kwa nini aliipenda sana kazi hii ya jeshi na kutoa mafunzo (SAUTI YA MEJA VERONICA) Nimemuuliza Meja Veronica ni changamoto gani kama mwanamke anayefundisha idadi kubwa ya wanaume kwenye operesheni za ulinzi amani anakumbana nazo. (SAUTI YA MEJA VERONICA) Photo Credit: UN Meja Veronica Owuor Kenya DPO   ♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26  bofya   hapa. ♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili   hapa. ♦ Pia unaweza kupakua  apu  ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo. ♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud  na Twitter Maktaba Taarifa kwa watangazaji Viunganishi vya Umoja wa Mataifa Angalizo UN Journal Taarifa za Habari Mikutano Maktaba ya Picha na Video Wasiliana nasi Katibu Mkuu Taarifa zote Safari za kiofisi Kona ya wanahabari Kutoka Twitter ya Katibu Mkuu Msemaji wa UN Nyaraka zote Muhtasari wa mkutano na wanahabari Maandishi ya mkutano na wanahabari Taarifa kwa wanahabari Tupate Facebook Twitter YouTube RSS Mawasiliano Rambaza Washirika wetu kwa sasa Umoja wa Mataifa Changia Facebook Twitter YouTube Soundcloud Podcast UN Social Media A-Z Site Index Hakimiliki Maswali ya mara kwa Mara Fraud Alert Privacy Notice Kanuni za matumizi Facebook Twitter YouTube SoundCloud Podcast More Socials
Language:English
Score: 1540968.8 - https://news.un.org/sw/audio/2019/11/1073761
Data Source: un
PROMOTION AND PROTECTION OF ALL HUMAN RIGHTS, CIVIL, POLITICAL, ECONOMIC, SOCIAL AND CULTURAL RIGHTS, INCLUDING THE RIGHT TO DEVELOPMENT : WRITTEN STATEMENT / SUBMITTED BY HUMAN RIGHTS ADVOCATES (HRA)
The Military Extraterritorial Jurisdiction Act (“MEJA”) allows 13 Protocol Additional to the Geneva Conventions of 12 August 1949, and relating to the Protection of Victims of International Armed Conflicts (Protocol 1), Article 47. 14 International Convention against the Recruitment, Use, Financing and Training of Mercenaries, A/RES/44/34, 72nd plenary meeting 4 December 1989 (UN Mercenary Convention). (...) option=com_contenttask=viewid=205Itemid=172 A/HRC/7/NGO/11 page 5 charges to be levied against U.S. contractors for criminal conduct while working for the Department of Defense or in support of a Department of Defense mission.18 While the MEJA does not apply to PMSCs under contract with other government agencies such as the Central Intelligence Agency or the Department of State, the US Congress is currently considering expanding the statute to covers contractors working under any federal agency in, or in close proximity to, an area where the Armed Forces are conducting a contingency operation.19 17. (...) Humans Rights Advocates calls upon all Member States: • To ratify or accede to the 1989 International Convention against the recruitment, use, financing, and training of mercenaries. 18 Military Extraterritorial Jurisdiction Act of 2000 (MEJA), 18 U.S.C. 19 MEJA Expansion and Enforcement Act of 2007, H.R. 2740: 2007-2008 (110th Congress).
Language:English
Score: 1526933.2 - daccess-ods.un.org/acce...?open&DS=A/HRC/7/NGO/11&Lang=E
Data Source: ods
Katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, Meja Nyaboga amesema, “nadhani tuzo itakuwa motisha kwa sababu itatoa changamoto kwa wanawake wengine kuona kama iwapo mimi niliweza kushinda na niliweza kujishughulisha na ulinzi wa amani ni muhimu nao wakachukue jukumu hilo.”  (...) Na kwangu naamini mchango wangu mdogo katika kubadilisha maisha ya mwanamke au msichana katika mazingira magumu inaniridhisha na ni motisha katika kutekeleza najukumu ya ulinzi wa amani.”  Hongera Meja Steplyne Nyaboga🏅 Kwa kushinda tuzo ya @UmojaWaMataifa ya Mwanajeshi Mwanaharakati wa Masuala ya Kijinsia mwaka 2020. (...) Kando na kwamba kazi ya ulinzi wa amani ina manufaa kwa jamii husika lakini walinda amani hususan wanawake wanakuabiliwa na changamoto mbali mbali ambapo Meja Nyaboga amesema, “moja ni kukosa kuungwa mkono na familia na hiyo inakatisha mtu tamaa ya kuendelea kwa sababu mawazo yako yatajikita nyumbani na kuathiri utendaji kazi wako.”
Language:English
Score: 1485481.25 - https://news.un.org/sw/story/2021/05/1119732
Data Source: un
 Mwanamke akidhamiria, anaweza kufanya chochote- Meja Seynabou Diouf | Habari za UN Skip to main content Karibu Umoja wa Mataifa Toggle navigation Lugha العربية 中文 English Français Русский Español Português Kiswahili Nyingine Hindi हिंदी duniani Habari za UN Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu Search the United Nations Tafuta Tafuta Zaidi Mwanzo Afrika Amerika Asia Pasifiki Mashariki ya Kati Ulaya Mada Amani na Usalama Ukuaji wa Kiuchumi Msaada wa Kibinadamu Tabianchi na mazingira Haki za bindamu Masuala ya UM Wanawake Sheria na Kuzuia Uhalifu Afya Utamaduni na Elimu SDGs Wahamiaji na Wakimbizi Kwa kina Habari kwa Picha Mahojiano Makala Neno La Wiki Makala Maalum Videos Siku za UN Katibu Mkuu Msemaji wa Katibu Mkuu Taarifa zote Hotuba muhimu Mikutano na wanahabari Safari za kikazi Vyombo vya Habari Video za Umoja wa Mataifa Picha za Umoja wa Mataifa Matukio ya Mikutanoni Usajili kwa wanahabari Webtv Mwanzo Afrika Amerika Asia Pasifiki Mashariki ya Kati Ulaya Mada Amani na Usalama Ukuaji wa Kiuchumi Msaada wa Kibinadamu Tabianchi na mazingira Haki za bindamu Masuala ya UM Wanawake Sheria na Kuzuia Uhalifu Afya Utamaduni na Elimu SDGs Wahamiaji na Wakimbizi Kwa kina Habari kwa Picha Mahojiano Makala Neno La Wiki Makala Maalum Videos Siku za UN Katibu Mkuu Msemaji wa Katibu Mkuu Taarifa zote Hotuba muhimu Mikutano na wanahabari Safari za kikazi Vyombo vya Habari Video za Umoja wa Mataifa Picha za Umoja wa Mataifa Matukio ya Mikutanoni Usajili kwa wanahabari Webtv   Sajili Kabrasha la Sauti  Mwanamke akidhamiria, anaweza kufanya chochote- Meja Seynabou Diouf UN Photo/Douglas Coffman (Kutoka kushoto) Mkuu wa Idara ya ulinzi wa amani kwenye Umoja wa Mataifa, Jean-Pierre Lacroix, Polisi wa mwanamke wa mwaka UN, Meja Seynabou Diouf na Kamishna wa Polisi MONUSCO, Awale Abdounasir wakati wa hafla ya tuzo. 5/11/2019 5 Novemba 2019 Amani na Usalama Meja Seynabou Diouf kutoka jeshi la polisi la taifa la Senegal amechaguliwa na kutangazwa kutwaa tuzo ya polisi mwanamke wa Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2019.  Meja Diof anasema mwanamke anapodhamiria jambo anaweza hata kuliko wengine na amemekabidhiwa tuzo yake hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani na kutoa wito kwa wasichana na wanawake wengine kwamba   “w anapaswa kuangalia mazingira yao na kutambua kwamba dunia hivi sasa imeundwa na usawa wa kijinsia, ambacho mwanaumme anaweza kufanya mwanamke atakifanya kwa ubora zaidi, lakini wakati wote tunapaswa kuwaelimisha  kwamba ni jinsi gani tunavyowahitaki kujiunga  lakini pia kuongeza na viongozi wa jamii kuwapa fursa, watuwezeshe kwa sababu huwezi kusajilia polisi wa kike kama wa kiume , tunamahitaji maalum na lazima yapewe uzito” Hivi sasa Meja Diouf anaongoza kikosi kazi cha kusaidia kuzuia na kukomesha unyanyasaji na ukatili wa kingono kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC katika eneo la Goma mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini. (...) Tunahitaji kufanya kila tuwezalo kuhakikisha kwamba hakuna dai hata moja na waathirika wa ukatili huu wanapokea msaada wanaostahili.” Meja Diouf alichaguliwa miongoni mwa majina 30 yaliyopendekezwa kutoka katika sehemu 8 za operesheni za Umoja wa Mataifa.
Language:English
Score: 1485481.25 - https://news.un.org/sw/story/2019/11/1072911
Data Source: un
Baada ya kupokea tuzo hii, Meja Nyaboga alifurahia kuwa kazi yake katika kujumisha mtazamo wa kijinsia ilitambuliwa. (...) ''Kupitia juhudi zake, Meja Nyaboga alileta mitazamo mipya na kuboresha ufahamu wa mielekeo ya kijinsia katika Ujumbe wote na kusaidia kuimarisha ushirikiano wetu na wanawake wa Darfur. (...) Hii ni mara ya kwanza kwa mlinda amani wa Kenya kupokea tuzo hii ya kifahari. Kumhusu Meja Nyaboga Afisa Meja Steplyne Nyaboga alianza kazi yake ya kijeshi mwaka wa 2009 kama Kamanda wa Kikosi cha Ishara za Redio, na kufikia kiwango cha Msimamizi wa Kikosi hicho mwaka wa 2011 akiwa na umri wa miaka 22.
Language:English
Score: 1467862.8 - https://www.un.org/africarenew...-ya-wanajeshi-ya-mwaka-wa-2020
Data Source: un
Baada ya kupokea tuzo hiyo, Meja Nyaboga ameonyesha furaha kwamba kazi yake katika upande wa usawa wa kijinsia imetambulika.  (...) Ulinzi wa amani ni jukumu la kibinadamu, kuwaweka wanawake na wasichana katika kitovu cha juhudi na hofu zetu kutatusaidia kuwalinda vyema raia na kujenga amani endelevu zaidi”. Meja Nyaboga alipelekwa kwenye ujumbe wa UNAMID mwezi Februari 2019. (...) Kupitia juhudi zake, Meja Nyaboga alianzisha mitazamo mipya na kuongeza ufahamu wa suala muhimu la kijinsia katika Ujumbe wote na kusaidia kuimarisha ushirika wetu na wanawake wa Darfuri.
Language:English
Score: 1467862.8 - https://news.un.org/sw/story/2021/05/1119412
Data Source: un
Meja Veronica Owuor ambaye ni afisa wa ununuzi na masuala ya kiufundi katika jeshi la anga la Kenya , lakini kwas asa ni miongoni mwa wanawake wawili tu na pekee kutoka barani Afrika wanaofanyakazi katika idara ya maafisa wa mafunzo ya kijeshi kwenye Umoja wa Mataifa. (...) Na ndipo nikaambayana naye Meja veronica na kuketi katika mazungumzo ambapo amenieleza ni kwa nini aliipenda sana kazi hii ya jeshi na kutoa mafunzo, "Kazi hii nilipenda kwa sababu baba yangu ambaye amestaafu alikuwa polisi kwa hiyo nilipenda kuchukua sare yake na fimbo yake pia katika kazi hii ambayo ninafanya katika Umoja wa Mataifa ya kutoa mafunzo, mama yangu ambaye kwa sasa amestaafu alikuwa ni mwalimu kwa hiyo nimerithi hiyo ari ya kuwa jeshi na kuwa mwalimu. Nahusika na kutengeneza mtaala na kutoa mafunzo katika nchi mbali mbali  na kutathimini kama nchi zinazingatia muongozo wa Umoja wa Mataifa." Nimemuuliza Meja Veronica ni changamoto gani kama mwanamke anayefunza idadi kubwa ya wanaume kwenye operesheni za ulinzi amani anakumbana nazo, "changamoto kubwa ni kujaribu kuhimiza nchi kwamba wanawake pia wanaweza kazi hizi za Umoja wa Mataifa, kwa sababu unapata kwamba nchi nyingi zina changamoto katika kujumuisha wanawake katika operesheni kwa sababu dhana ni kwamba kazi hizi zinahitaji kutumia nguvu lakini kuna kazi mbali mbali ikiwemo kusaidia raia ambao wako katika maeneo yanayohitaji ulinzi
Language:English
Score: 1462433.4 - https://news.un.org/sw/story/2019/11/1073711
Data Source: un
Meja Steplyne Nyaboga | Habari za UN Skip to main content Karibu Umoja wa Mataifa Toggle navigation Lugha العربية 中文 English Français Русский Español Português Kiswahili Nyingine Hindi हिंदी duniani Habari za UN Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu Search the United Nations Tafuta Tafuta Zaidi Mwanzo Afrika Amerika Asia Pasifiki Mashariki ya Kati Ulaya Mada Amani na Usalama Ukuaji wa Kiuchumi Msaada wa Kibinadamu Tabianchi na mazingira Haki za bindamu Masuala ya UM Wanawake Sheria na Kuzuia Uhalifu Afya Utamaduni na Elimu SDGs Wahamiaji na Wakimbizi Kwa kina Habari kwa Picha Mahojiano Makala Neno La Wiki Makala Maalum Videos Siku za UN Katibu Mkuu Msemaji wa Katibu Mkuu Taarifa zote Hotuba muhimu Mikutano na wanahabari Safari za kikazi Vyombo vya Habari Video za Umoja wa Mataifa Picha za Umoja wa Mataifa Matukio ya Mikutanoni Usajili kwa wanahabari Webtv Mwanzo Afrika Amerika Asia Pasifiki Mashariki ya Kati Ulaya Mada Amani na Usalama Ukuaji wa Kiuchumi Msaada wa Kibinadamu Tabianchi na mazingira Haki za bindamu Masuala ya UM Wanawake Sheria na Kuzuia Uhalifu Afya Utamaduni na Elimu SDGs Wahamiaji na Wakimbizi Kwa kina Habari kwa Picha Mahojiano Makala Neno La Wiki Makala Maalum Videos Siku za UN Katibu Mkuu Msemaji wa Katibu Mkuu Taarifa zote Hotuba muhimu Mikutano na wanahabari Safari za kikazi Vyombo vya Habari Video za Umoja wa Mataifa Picha za Umoja wa Mataifa Matukio ya Mikutanoni Usajili kwa wanahabari Webtv   Sajili Kabrasha la Sauti Apply filter Sauti Apply
filter Apply filter Video Apply
filter Meja Steplyne Nyaboga UN/UNIC Nairobi Nilipokea taarifa za ushindi nikwa nyumbani na kwa kweli nilijawa nafuraha sana-Meja Nyaboga 27 Mei 2021 Makala Chanda chema huvikwa pete walinena wahenga na hali ni kama hiyo kwa mlinda amani kutoka Kenya ambaye amechaguliwa kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mwanajeshi mwanaharakati wa masuala ya kijinsia kwa mwaka 2020.   (...) Sauti - 13'21" UN/UNIC Nairobi Ni muhimu kuongeza idadi ya wanawake walinda amani katika kufikia amani endelevu-Meja Nyaboga 27 Mei 2021 Amani na Usalama Mshindi wa tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mwanajeshi mwanaharakati wa masuala ya kijinsia kwa mwaka 2020 Meja Steplyne Nyaboga kutoka Kenya amesema wanawake walinda amani wako na jukumu muhimu katika ulinzi wa amani ni motisha kwa kila mwanamke mlinda amani kwamba ana uwezo wa kutekeleza majukumu yake licha ya mazingira magumu. 
Language:English
Score: 1437791.2 - https://news.un.org/sw/tags/meja-steplyne-nyaboga
Data Source: un
FIB, cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani DRC, MONUSCO.  Ziara ya Meja Jenerali Alfred Kapinga hapa Beni jimboni Kivu Kaskazini ya kufuatilia utekelezaji wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kuleta vikundi vipya vya ulinzi wa amani, ilimpatia fursa ya kuwa na mazungumzo na kamanda wa FIB kutoka Afrika Kusini, halikadhalika walinda amani kutoka Tanzania.  Na ndipo akaulizwa kwa nini kunafanyika mabadiliko ya vikosi? Meja Jenerali Kapinga anasema,  “mabadiliko yaliyofanyika ni kupunguza baadhi ya askari kutoka vikosi vya awali na kuleta askari wapya na vikundi vipya vikiwemo vinavyoweza kufanya kazi kwa haraka zaidi yaani Quick reaction forces. (...) Zaidi ya yote ana kipi cha kujivunia kutoka kwa vijana wake ambao yeye ndiye mwalimu wao? Meja Jenerali Kapinga anasema,  “najivunia vikosi vyangu vinafanya vizuri na Tanzania inafanya kazi vizuri na kubwa zaidi tunaona kwamba usalama wa watu wa DRC uko vizuri na ambavyo tunaleta usalama kwa nchi zote za maziwa makuu.”
Language:English
Score: 1428669.6 - https://news.un.org/sw/story/2020/12/1107502
Data Source: un